Isaiah 8:6-8


6 a“Kwa sababu watu hawa wamekataa maji ya Shilo yatiririkayo taratibu
wakamfurahia Resini na mwana wa Remalia,

7 bkwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao
mafuriko makubwa ya Mto:
Yaani Frati.

yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote.
Yatafurika juu ya mifereji yake yote,
yatamwagikia juu ya kingo zake zote,

8 dna kufika hadi Yuda, yakizunguka kwa kasi juu yake,
yakipita katikati na yakifika hadi shingoni.
Mabawa yake yaliyokunjuliwa
yatafunika upana wa nchi yako,
Ee Imanueli!”
Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi.

Copyright information for SwhKC